Main Menu

Saturday, January 26, 2013

ARSENAL YATAKATA FA CUP, MAN CITY, EVARTON NAZO ZAPETA

Brighton & Hov… 2 - 3 Arsenal
Magoli ya arsenali yamefungwa na geroud 17,57 na walcot 84, na ya brighton yamefungwa na barness 34 na ulloa 64

Stoke City 0 - 1 Manchester City
Goli la man city limefungwa na zabaleta dk 85.

         mshambuliaji wa arsenal olivie giroud

MATOKEO MENGINE

Norwich City 0 - 1 Luton Town

Macclesfield Town 0 - 1 Wigan Athletic

Derby County 0 - 3 Blackburn Rovers

Hull City 0 - 1 Barnsley

Middlesbrough 2 - 1 Aldershot Town

Reading 4 - 0 Sheffield United

Huddersfield Town 1 - 1 Leicester City

Queens Park Ra… 2 - 4 Milton

Bolton Wanderers 1 - 2 Everton

0 comments:

Post a Comment