Main Menu

Wednesday, July 22, 2015

STIVEN GERALD NA MSHAKAJI WAKE SUAREZ WAKUTANA MAREKANI

Washkaji waliowahi kukipiga pamoja katika klabu ya Liverpool nahodha Stiven Gerald na mshambuliaji Luis Suarez wamekutana nchini Marekani wakati timu zao za sasa za LA Galaxy na Barcelona zilipokutana katika mchezo wa kirafiki.The former team-mates embraced ahead of kick-off as European champions Barcelona began their pre-season scheduleSteven Gerrard (left) and Luis Suarez, former team-mates at Liverpool, found themselves on opposite sides as Barcelona beat LA GalaxySuarez and Gerrard, who moved to LA from Liverpool over the summer, shake hands ahead of kick-off at the Rose BowlIt was the largest attendance for any match involving a Major League Soccer side 

0 comments:

Post a Comment