Main Menu

Sunday, July 19, 2015

JOSEPH BARTOMEU ACHAGULIWA TENA KUIONGOZA BARCELONA



Josep Bartomeu, seen casting his vote in front of fellow Barcelona members, is the current front-runnerJoseph Maria Bartomeu amechaguliwa tena kuwa Rais wa Barcelona kwa kumshinda mpinzani wake Juan Laporta.

Bartomeu amepata kura kwa asilimia 54.63 kati ya kura zote zilizopigwa na wanachama wa Bracelona katika uchaguzi wa klabu hiyo hapo jana.

Taarifa za ndani toka klabu ya Barcelona zinasema kuwa ushindi wa Bartomeu unatokana na mafanikio ya Barcelona msimu uliopita kwa timu hiyo kuchukua makombe matatu.
 Former Barcelona defender Carles Puyol was spotted at the Nou Camp casting his vote in the elections
Makombe hayo ni pamoja na Ligi ya Mabingwa Ulaya ,Kombe la mfalme nchini Hispania na kombe la Ligi Kuu ya soka nchini Hispania La Liga.

Uchaguzi huo ulihudhuliwa na wachezaji wa Barcelona wakiongozwa na nahodha wa klabu hiyo Andres Iniesta.Barcelona midfielder Andres Iniesta casts his vote during the club's presidential elections at the Nou Camp

0 comments:

Post a Comment