Uwanja huo utatumika katika fainali za Afcon mwaka 2017
nchini Gabon.
Ujio wa Messi nchini Gabon unatokana na mualiko aliopewa na
Rais wa Gabon Ali Bongo Ondimba.
Baada ya kufika uwanja wa ndege,Messi alipokewa na maelfu
ya wananchi wa Gabon waliofika kumuona mchezaji huyo.

0 comments:
Post a Comment