Main Menu

Friday, June 5, 2015

MBEYA CITY KUENDESHA CLINIC YA WATOTO KESHO


Ili kuendeleza na kujenga timu bora za vijana timu ya Mbeya City Fc kesho inatarajia kuendesha clinic ya watoto wenye umri wa miaka 8 hadi 15.

Clinic hiyo itafanyika katika viwanja vya FFU jijini humo, lengo likiwa kutengeneza timu za watoto wenye umri huo.

Afisa habari wa timu hiyo Dismas Ten ameuambia mtandao huu kwamba clinic hiyo itakua ya wazi na kuwasisitiza wazazi kuwapeleka watoto au kuwaruhusu.

0 comments:

Post a Comment