Timu ya Juventus ya nchini Italia usiku wa kuamkia leo imetwaa kombe lake la pili msimu huu baada ya kuifunga timu ya Lazio katika mchezo wa fainal ya Copa italia.
Mabao ya beki kisiki Giorgio Chiellini na Matri yalitosha kuipa ubingwa Juve kwa mabao mawili kwa moja.
Sasa Juve inasubiri fainal ya ligi ya mabingwa june 6 nchini Ujerumani kuona kama inaweza kutwaa makombe matatu kwa msimu jambo ambalo haijawahi kufanya tofauti ya wana fainal wenzano timu ya Barcelona ambao tayari wameshawahi kutwaa makombe matatu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment