Floyd
Mayweather akishangilia na mataji yake baada ya kumshinda kwa pointi za
majaji zote Marcos Maidana ukumbi wa MGM Grand mjini Las Vegas.
Marekani asubuhi hii.
Floyd Mayweather akimtupia konde Marcos Maidana
Floyd Mayweather akifikisha mono kwenye kichwa cha Maidana
Floyd Mayweather akimchapa Marcos Maidana
Will Smith akifurahia pambano hilo ukumbi wa MGM Grand
Marcos Maidana alilazimika kucheza faulo kumdhibiti Mayweather
Floyd Mayweather akienda chini baada ya kusukumwa na Marcos Maidana
Marcos Maidana akikatwa na pointi na Kenny Bayless kwa kucheza rafu
0 comments:
Post a Comment