Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Watendaji Wakuu
wa Jeshi la Polisi Makao Makuu pamoja na Kanda Maalumu ya Dar es Saalam ofisini
kwake jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Kamishna wa Utawala, Rasilimali na
Fedha wa Jeshi la Polisi, Clodwing Mtweve.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Watendaji Wakuu
wa Jeshi la Polisi Makao Makuu pamoja na Kanda Maalumu ya Dar es Saalam ofisini
kwake jijini Dar es Salaam leo. Wa pili kutoka kushoto ni Kamishna wa Kanda
Maalumu ya Dar es Salaam (CP) Suleiman Kova..
0 comments:
Post a Comment