Main Menu

Wednesday, July 10, 2013

WASHINDI WATANO WANUFAIKA NA PROMOSHENI YA M PESA SABASABA


Afisa wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini,Bw.Humudi Abdulhussein wapili toka kushoto na Meneja ukuzaji wa biashara ya huduma ya M PESA wa Vodacom Tanzania,Moses Krom,wakimshuhudia Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu akizungusha gurudumu lenye majina ya washiriki wa Promosheni ya lipa kwa M pesa na Ushinde ukiwa Sabasaba na kujishindia zawadi ya shilingi Elfu 40 sanjari na muda wa maongezi wa shilingi 1000 kila siku ambapo washindi watano walipatikana,Promosheni hiyo inaendeshwa na Vodacom Tanzania wakati wa maonesho ya 37 ya kimataifa ya sabasaba.
Afisa wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini,Bw.Humudi Abdulhussein na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu wakiweka karatasi zenye majina ya washiriki wa Promosheni ya lipa kwa M pesa na Ushinde ukiwa Sabasaba na kujishindia zawadi ya shilingi Elfu 40 sanjari na muda wa maongezi wa shilingi 1000 kila siku ambapo washindi watano walipatikana, Promosheni hiyo inaendeshwa na Vodacom Tanzania wakati wa maonesho ya 37 ya kimataifa ya sabasaba,anaeshuhudia kulia ni Meneja ukuzaji wa biashara ya huduma ya M PESA wa Vodacom Tanzania,Moses Krom.


0 comments:

Post a Comment