Msanii wa bongo fleva aliyetamba na kutambulishwa na ngoma mpenzi jini kisha mpenzi kiziwi Z-ANTO amefiwa na mama yake jioni hii hospitali ya Muhimbili.
Mama huyo amefariki dunia muda mfupi baada ya kufikishwa hospitalini hapo, ugonjwa uliokua unamsumbua mama huyo bado haujafahamika. mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho jijini dar na msiba upo nyumbani kwao kigamboni.
Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia mtandao huu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment