Main Menu

Sunday, July 14, 2013

HUYU NDIYE MCHEZA SOKA ALIYEVUNJA REKODI YA KUKIMBIA MITA 100 ILIYOWEKWA NA USAIN BOLT

 
mchezaji mpya wa club ya Borussia Dortmund Pierre-EMERICK Aubameyang amevunja rekodi ya kukimbia iliyowekwa na mjamaica usail bolt mwaka 2009 katika mashindano ya olimpiki jijini berlin wakati akifanya mazoezi ya msimu mpya wa ligi.


Aubameyang  mwenye umri wa miaka
24 ametumia muda wa sekunde 3.7 kwa kukimbia mita 30 wakati wa mbio za mafunzo kwa ajili ya maandalizi ya Ligi ya Mabingwa ya wiki hii, wakati Bolt alitumia sekunde 3.78 kwa umbali huo huo wakati akiweka rekodi ya dunia ya mita 100 kwa kutumia sekunde 9.58 katika mashindano ya olimpiki Berlin mwaka 2009.
 "Pierre is definitely the fastest player who has ever played for us," Dortmund's director of sport Michael Zorc told German daily Bild.
The Gabon international is not only fleet-footed, as he proved scoring 41 goals and setting up a further 28, in 120 games for former club St Etienne.

He cost Dortmund 13 million euros (US$17m) from the French Cup winners.

"We're going to have a lot of fun playing alongside him," said Dortmund's Germany midfielder Ilkay Gundogan.

But Jamaica's sprint star may not be too happy that Dortmund have signed Aubameyang: Bolt is a fan of European champions Bayern Munich and friends with their Germany star Bastian Schweinsteiger.

The 26-year-old sprinter is often in Munich as a patient of Bayern's team doctor Hans-Wilhelm Mueller-Wohlfahrt.

0 comments:

Post a Comment