Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akizungumza na wanafunzi wa wa CBE pamoja na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kuwapongeza Chuo cha Biashara cha CBE kwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya Pool yaliyojulikana kwa Safari Lager Higher Learning Pool Competition 2013 yaliyomalizika juni 2,mwaka huu katika Viwanja vya Leaders jiji ni Dar es Salaam iliyofanyika katika Hoteli ya Chichi Kinondoni .Kulia ni Katibu wa Chama cha Pool Tanzania(TAPA), Amos Kafwinga.
Wanafunzi wa Chuo cha CBE wakicheza muziki wakati wa hafla ya kuwapongeza Chuo cha Biashara cha CBE kwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya Pool yaliyojulikana kwa Safari Lager Higher Learning Pool Competition 2013 yaliyomalizika juni 2,mwaka huu katika Viwanja vya Leaders jiji ni Dar es Salaam iliyofanyika katika Hoteli ya Chichi Kinondoni.
Wanafunzi wa Chuo cha CBE wakipata kinywaji wakati wa hafla ya kuwapongeza.
Wanafunzi wa Chuo cha CBE wakichukua chakula kinywaji wakati wa hafla ya kuwapongeza .
0 comments:
Post a Comment