KIKOSI CHA KAGERA SUKARI
Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania
inaendelea leo kwa mechi mbili ambapo bingwa mtetezi Simba atakuwa mgeni ya
Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
Uwanja huo wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 3,000
unatarajiwa kushuhudia mechi yenye ushindani kutokana na uwezo wa wachezaji wa
pande zote mbili.
Mechi nyingine itapigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex
ulioko Chamazi, Dar es Salaam kati ya wenyeji Azam na Tanzania Prisons kutoka
Mbeya.
Boniface
Wambura
Ofisa Habari
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
0 comments:
Post a Comment