Main Menu

Thursday, January 10, 2013

TAIFA STARS YATUA SALAMA ADDIS ABABA


Taifa Stars imefika salama hapa Addis Ababa tayari kwa mechi ya kirafiki dhidi ya wenyeji Ethiopia. Mechi itachezwa kesho (Januari 11) Addis Ababa Stadium kuanzia saa 11.30 jioni( Tanzania na Ethiopia hatupishani saa). Timu imefikia Hilton Hotel. Itafanya mazoezi leo jioni Addis Ababa Stadium kwa saa moja kuanzia saa 11.30 jioni.
 
Boniface Wambura
Ofisa Habari
Tanzania Football Federation

0 comments:

Post a Comment