twalib omar akifungishwa ndoa na sheikh selemanmakanjira katika mskit wa muuminin kiwalani kwa gude akimuoa bi fatma juma na badae shughuli kufanyika temeke sandari kwa mzee dr muwa.
Aakiwasili nyumbani na mke, kushoto mama mzazi wa twalib
kiulaini anajibebea mke wake na kumpakiza kwenye terrano
bwana harusi akiwasili kwa dr muwa na mke wake
baada ya ndoa katika masjid muuminin
chombo chenyewe ndio hichi, bi. fatma
wapambe wa nguvu kutoka ebony fm iringa, kushoto doss aliyekua anawadrive maharusina kulia ni yahaya mohamedy baada ya mishe kupungua.
masuala ya msosi hayakua yawasiwasi maana ilikua hadi kusaza
msafara kurudi kwa dr muwa baada ya kuchukua mke
mtu chake bana
washkaji kutoka mkoani iringa walidondoka dar kutoa sapoti kwa mkali wa anga la michezo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment