Main Menu

Thursday, December 20, 2012

DRAW YA 16 BORA YA UEFA CHAMPION LIGI YAFANYIKA MCHANA WA LEO





  1. Baada ya kukamilika kwa round ya kwanza ambayo ni ya makundi ya uefa champion ligi sasa tunaelekea katika hatua ya mtoana ambapo leo hii droo imechezeshwa na kila timu kumfahamu mpinzani wangu.

    mechi hizo za mtoano zinatarajiwa kuchezwa february 12 na 13 na mechi nyngine 19 n1 20 wakati marudio yanatarajiwa kuwa march 5 na 6 na mechi nyingine 12 na 13.

    mechi zinazotarajiwa kuwa kali ni kati ya real madrid na manchester united, arsenal na bayern munich na kati ya ac milan na barcelona.

    RATIBA KAMILI YA MICHEZO HIYO

    GALATASARAY  VS  SCHALKE

    CELTIC  VS  JUVENTUS

    ARSENAL VS  BAYERN MUNICH

    SHAKHTAR DONETSK  VS  BORUSSIA DORTMUND

    AC MILAN  VS  BARCELONA

    REAL MADRID  VS  MANCHESTER UNITED

    VALENCIA  VS  PARIS ST GERMAIN 

    PORTO  VS  MALAGA

0 comments:

Post a Comment