TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE YA ENGLAND YATUPWA NJE KOMBE LA DUNIA
Timu ya taifa ya wanawake ya England imeondolewa katika
hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la dunia la wanawake baada kufungwa
magoli 2-1 na timu ya taifa ya Japan.
Kwa matokeo hayo timu ya Japna itacheza fainali na timu
ya taifa ya Marekani siku ya Jumatatu ya tarehe 6 mwezi huu.
Nafasi ya mshindi wa tatu itakuwa kati ya Ujerumani dhidi
ya England.
0 comments:
Post a Comment