
Aranguiz alifanya vizuri sana na timu ya
taifa ya Chile katika michuano ya Copa Amerika na kuiwezesha Chile kutwaa
ubingwa wa Copa Amerika.
Hapo kabla zilitoka taarifa za kumhusu
Aranguiz kuhamia klabu ya Marseille kabla ya Chelsea kuweka dau nono la
kumchukua kiungo huyo.
0 comments:
Post a Comment