Main Menu

Thursday, July 2, 2015

SOUTHAMPTON YAENDELEA KUIWEKEA NGUMU MAN U KWA SCHNEIDERLIN



 
Tarifa kutoka nchini England zinasema kuwa klabu ya Southampton imekataa ofa ya ya klabu ya Manchester United ya pauni milioni 20 juu ya usajili wa kiungo wa Morgan Schneirdelin.

Kiungo huyo rais waUfaransa amekuwa akihitajika na vilabuvingi duniani lakini United wameonekana kuwa na dhamira ya dhati ya kumpata mchezaji huyo.

Schneiderlin ana hamu ya kucheza michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao nah ii ndiyo sababu ya kumtoa katika klabu ya Southampton .

Klabu ya Southampton inataka kiasi cha pauni milini 30 kwa timu yoyote inayomhitaji Morgan Schneiderlin.

0 comments:

Post a Comment