Main Menu

Tuesday, July 29, 2014

RASMI SASA SIMBA KUIVAA ZESCO TAMASHA LA SIMBA DAY

Klabu ya soka ya wekundu wa msimbazi Simba imethibitisha kucheza na timu ya Zesco united ya zambia katika tamasha la Simba day linalotarajiwa kufanyika tarehe 9 mwezi wa 8.

Mratibu wa bonanza hilo Mlam Ng'ambi amesema maandalizi mengine kuhusu bonanza hilo yanakwenda vizuri, huku lengo kubwa likiwa ni kuwatambulisha wachezaji wao wapya.


Kuhusu kubadilika kwa tarehe ya tamasha hilo Mlam amesema imetokana na kuchelewa kuomba uwanja ambao siku hiyo ya nane nane utakua na shughuli nyingine.

0 comments:

Post a Comment