Main Menu

Wednesday, November 6, 2013

SIMBA YAICHAPA ASHANTI UNITED 4-2, MATUKIO KATIKA PICHA


 Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na Ramadhani Singano 'Messi' dhidi ya Ashant United.
 Amis Tambwe akimtoka beki wa Ashanti United.
 Mshambuliaji wa Simba, Betram Mwombeki akichuana na beki wa Ashanti United, Tumba Sued katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 4-2.
 Beki wa Ashanti United, Tumba Sued akichuana na mshambuliaji wa Simba, Betram Mwombeki
 Hassan Isihaka akimtoka beki wa Ashanti, Samir Ruhava.
 Ramadhani Singano (kushoto), Betram Mwombeki (kati) na Amis Tambwe wakishangilia bao lao la 4.
 Mwombeki akimshukuru mungu baada ya kuifungia timu yake bao la 4.
 Amisi Tambwe akimiliki mpira huku Jaffari Gonga akimzonga.
Betram Mwombeki akiwa chini baada ya kuumia.
Mwombeki akishangilia baada ya kufunga bao la 4.


0 comments:

Post a Comment