Main Menu

Wednesday, November 6, 2013

ARSENAL, CHELSEA, BARCA ZATAKATA ULAYA

BAO pekee la Aaron Ramsey dakika ya 62, limeipa Arsenal ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya wenyeji Borussia Dortmund nchini Ujerumani.
 
Hilo linakuwa bao la 13 kwa mchezaji huyo msimu huu na bao la tano katika michuano ya Ulaya msimu huu. Pamoja na kufungwa, wenyeji ndio waliocheza vyema usiku huo kabla ya Arsenal kupata bao lake, hawakuweza kutengeneza nafasi hata moja ya kufunga.
 
Borussia ambayo inapewa sifa ya moja ya timu bora kabisa Ulaya kwa sasa, iliingia kwenye mechi hiyo ikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa 6-1 dhidi ya Stuttgart katika ligi Bundesliga, lakini ilikalishwa na mtutu mmoja wa bunduki.
 
Dortmund; Weidenfeller 6, Grosskreutz 7, Papastathopoulos 6, Subotic 7, Schmelzer 6, Sahin 5, Bender 5 (Hofmann 75, 5), Blaszczykowski 6 (Aubameyang 74, 5), Mkhitaryan 6, Reus 6 (Schieber 86), Lewandowski 6. 
 
Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Ramsey, Arteta, Cazorla/Monreal dk75, Ozil, Rosicky/Vermaelen dk91 na Giroud/Bendtner dk90.

Aaron Ramsey (kulia) na Mesut Ozil wakishangilia bao pekee la ushindi la ArsnalBravery: Ramsey sticks his head where it hurts to guide home the winner
Ramsey akifunga bao muhimuBravery: Ramsey sticks his head where it hurts to guide home the winner
Sucker-punch: Dortmund had had the best of the chances up to that point
Dortmund ilipata nafasi nyingi nzuri ikapotezaSucker-punch: Dortmund had had the best of the chances up to that point
groupf.PNG

MECHI ZILIZOBAKI ZA ARSENAL:

Marseille (H), Novemba 27
Napoli (A), Desemba 11
Katika mechi nyingine, Barcelona imeifunga AC Milan mabao 3-1 Uwanja wa Camp Nou, Lionel Messi akifunga mawili dakika ya 30 na 83, wakati lingine limefungwa na Busquets dakika ya 40, huku Pique akijifunga dakika ya 45 kuwapatia wageni bao la kufutia machozi.
 
Barcelona: Valdes; Dani Alves, Pique, Mascherano, Adriano; Xavi/Song dk88, Busquets, Iniesta/Fabregas dk78, Alexis, Messi na Neymar/Pedro dk85)
 
AC Milan: Abbiati; Abate, Zapata, Mexes, Emanuelson; Muntari, Montolivo, De Jong, Poli/Birsa dk74', Kaka/Matri dk84, Robinho/Balotelli dk46.
High five! Barcelona's Lionel Messi (left) celebrates the final goal with provider Cesc Fabregas
Nyota wa Barcelona, Lionel Messi (kushoto) akishangilia bao lake la mwisho na mpishi wake, Cesc Fabregas
Back of the net! Messi seals victory with his second goal after an intricate passing move
Messi akifunga bao la pili

Nayo Chelsea imeifumua 3-0 Schalke 04, mabao ya Samuel Eto'o dakika ya 31 na 54 na Demba Ba dakika ya 83.
 
Chelsea: Cech, Ivanovic, Azpilicueta, Mikel, Cahill, Terry, Willian, Ramires, Eto'o/Ba dk77, Oscar/Lampard dk81 na Schürrle/De Bruyne dk78.
 
Schalke: Hildebrand, Uchida, Aogo, Neustädter, Höwedes, Matip, Draxler/Clemens dk62,  Jones, Szalai, Boateng/Kolasinac dk77 na Fuchs/Meyer dk67.
Too quick: Samuel Eto'o blocks Timo Hildebrand's attempted clearance to give Chelsea the lead
Samuel Eto'o aliuzuia mpira wa Timo Hildebrand kabla ya kuifungia Chelsea baola kwanza
Mutual appreciation: Eto'o celebrates with manager Jose Mourinho after giving Chelsea the lead
Eto'o akishangilia na kocha Jose Mourinho Cool finish: Eto'o grabs his second goal of the night by neatly slotting the ball past Hildebrand
Eto'o akifunga la piliIn control: Willian climbs on the back of Eto'o to celebrate his second goal
Willian akimpongeza Eto'oSuper sub: Demba Ba converts from close-range to wrap up a 3-0 win for Chelsea
Demba Ba akifunga bao la tatuInstant impact: Ba celebrates his goal just six minutes after coming off the bench
Ba akishangilia bao lake

0 comments:

Post a Comment