Main Menu

Monday, June 24, 2013

TIMU YA TAIFA YA TAHITI YAAMBULIA MAGOLI 24 KWENYE MICHEZO 3 KATIKA KOMBE LA MABARA NCHINI BRAZIL

 On target: Fernando Torres scored a diving header as Spain beat Nigeria 3-0
Katika hatua ya mwisho ya michuano ya makundi  kwenye mashindano ya kombe la mabara la Confederations Cup nchini Brazil mabingwa wa dunia Uhispania waliwaonyesha mabingwa wa Afrika, Nigeria kandanda ya pasi fupi na kuwachapa mabao matatu kwa bila.

Katika mechi nyingine Uruguay haikuwa na huruma  na Timu ya Tahiti ya wachezaji wa ridhaa karibu  wote. 









Record: Luis Suarez scored his 35th and 36th goals of his Uruguay career




























Kwa mara nyingine Tahiti iligeuzwa kapu la magoli kwa kuchabangwa mabao manane kwa bila.

Uhispania na Uruguay zimeingia katika nusu fainali, ambapo Uhispania itapambana na Italia na Uruguay itamenyana na Brazil.
 

0 comments:

Post a Comment