Mabigwa wa Sports Xtra Day 2014 mkoa wa Mwanza wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wa fainali dhidi ya NMB Mwanza, ambapo SAUT walitawazwa kuwa mabingwa mara baada ya kushinda kwa mikwaju ya penati 5 – 4. |
Washindi nafasi ya pili NMB Mwanza katika picha ya pamoja kabla ya kuvaana na SAUT. |
Patashika langoni mwa NMB Mwanza. |
Kasi, ufundi, umakini vimevuta hisia za mashabiki viwanja vya Raila Odinga Chuo cha SAUT Mwanza katika michuano ya Bonanza la Sports Xtra kwa mkoa wa Mwanza. |
Patashika langoni mwa SAUT pale ambapo NMB Mwanza walipo lishambulia kama nyuki. |
Kasi kuuwania mpira. |
Mashabiki wengine hakuna kukaa mwanzo mwisho. |
Jiografia ya eneo husika. |
Macho ya mashabiki kwenye mchezo waupendao. |
Dakika za mchezo zilimalizika na sasa mikwaju ya penati ndiyo mpango mzima hapa mchezaji wa SAUT alifanikiwa kuutumbukiza mpira kimiani. |
Penati ya akili sana toka kwa mchezaji wa NMB Mwanza. |
Sehemu ya mashabiki na macho kwenye mchezo waupendao (SOKA). |
Ni mashabiki wa Chuo cha SAUT Mwanza wakiwa wamembeba golikipa wao aliye pangua penati ya mwisho ya nahodha wa NMB Mwanza Hassan Mtalemwa. |
“SAUT, SAUT, SAUT” ndiyo wimbo unaosikika hapa. |
SAUT na kombe lao la ubingwa Bonanza la Sports Xtra Day 2014 Mwanza. |
Mashabiki wa NMB Mwanza pamoja na baadhi ya wachezaji hawakusita kushangilia eti kisa kufungwa fainali, tena kwa makusudi walimbeba nahodha wao Mtalemwa akiwa na kombe la nafasi ya pili. |
Mbwiga wa Mbwiguke (wa pili kutoka kushoto) akiwa na mashabiki wake. |
Kikosi cha Sports Xtra kilichoenguliwa kwa taaaaaaaaaabu katika mchezo wa nusu fainali kwa njia ngumu ya mikwaju ya penati 2 – 3 dhidi ya NMB Mwanza. |
Kikosi cha VODACOM Mwanza licha ya kuonyesha soka tamu la kuvutia kiling’oka katika ngazi ya nusu fainali kwa penati 4 – 5 dhidi ya SAUT. |
Kikosi cha washirika wengine muhimu sana kwenye Bonanza la Sports Xtra Day 2014 Mwanza Advans Bank. |
Kikosi cha washirika wa karibu sana moja kati ya wadhamini wa kipindi cha Sports Xtra Clouds fm, Tigo Mwanza katika picha ya pamoja. |
Mwisho ilikuwa ni kujipongeza kwa kupata msosi makini huku tukiwa na nyuzi za Binslum. |
KWA hisani ya shaffih.com
0 comments:
Post a Comment