Siku moja baada ya klabu ya yanga kumsajili beki wa kushoto haji mwinyi kutoka visiwani zanzibar, hii leo klabu ya SIMBA SC nayo imesajili mabeki wawili kutoka visiwani humo ambao ni Samir Hajji Nuhu beki wa kushoto na Mohammed Fakhi beki wa kati..
Ikumbukwe Nuhu
aliwahi kuwa mchezaji wa Azam FC kwa misimu miwili hadi msimu wa 2013/2014
kabla ya kuumia goti na kuondolewa katika kikosi hicho, wakati mohamed Fakhi yeye alikitumikia kikosi cha JKT Ruvu msimu uliopita.
Nuhu amesaini mkataba wa mwaka mmoja wakati Fakhi amemwaga wino wa miaka miwili.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment