Friday, April 3, 2015
UJIO WA MALEGENDARY WA BARCELONA WAIVA, JOHAN CRUYFF WASILI NCHINI
Safari ya magwiji wa Barcelona nchini imeiva baada ya mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Uholanzi na vilabu vya Ajax na Balcelona, gwiji Johan Cruyff kuwasili leo nchini na kuelekea Hifadhi ya taifa ya Serengeti kwa ajili ya mapumziko kabla ya mpambano wa wachezaji wa zamani wa Barcelona dhidi ya magwiji wa soka hapa nchini.
Mpambano wa magwiji hao utapigwa wikiendi ijayo ya tarehe 11 april uwanja wa taifa jijini dar es salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment