Usiku wa jana ulikuwa ni usiku wa huzuni kwa wenzetu
waganda baada ya mshiriki pekee aliyekuwa amebaki
naye kuyaaga mashindano lakini ilikuwa ni siku ya
hatarini kutoka kutoka na badala yake votes zimemuokoa
na ataendelea kuwemo mjengoni pamoja na mtanzania
mwingine Nando, na nchi zilizopiga kura,tungetegemea
majirani zetu Uganda na Kenya kuvote kwa Feza
lakini ilikuwa kinyume,ni Tanzania na nchi za west africa,Ghana &Sierra leon
kitu kilicholeta mtafaruku mkubwa on social networks,na
zamu hii Mwakilish wa
kenya yuko on danger,do u think ni nini kitatokea..lets wait n see
0 comments:
Post a Comment