Main Menu

Saturday, May 11, 2013

HIKI NDICHO KILICHOJIRI HUKO DODOMA KWENYE SEMINA YA TWENDE ZETU YA CLOUDS MEDIA GROUP


Mbunge wa Kigoma Kaskazini CHADEMA Ndugu Zitto Kabwe akizungumza na wasanii mabalimbali wakati akitoa mada katika semina ya kampeni maalum ya “Twede Zetu” iliyofanyika kwenye ukumbi wa African Dream mjini Dodoma leo , Kampeni hiyo inazungumzia na kuhamasisha vijana kuwa wabunifu na kutumia fursa zilizopo ili kujikwamua kimaisha lakini pia kuleta maendeleo kwa wasanii wenyewe na taifa kwa ujumla Watu mbalimbali wametoa mada katika semina hiyo ambao ni Patrick Ngowi, Zeno Ngowi Msanii Mrisho Mpoto na Ndugu Zitto Kabwe mwenyewe.Watoa Mada katika semina hiyo Patrick Ngowi kushoto na Zeno Ngowi wakiteta jambo wakati wa semina hiyo.Msanii Mrisho Mpoto ambaye pia ametoa mada katika semina hiyo

Mtoa mada Zeno Ngowi akizungumza na wasanii katika semina hiyo.
Ndugu Zitto Kabwe akiingia katika ukumbi wa mikutano wa African Dream mjini Dodoma.Mtoa mada Patrick Ngowi akiingia kwenye ukumbi wa mkutanoMkurugenzi wa Maendeleo na Utafiti Clouds FM Bw. Ruge Mutahaba akizungumza katika semina hiyo . Mkubwa Fella kutoka TMK akizungumza katika semina hiyoDJ Elly katikati Godzilla kushoto na Izo Busness wakiwa katika semina hiyo.Benny Kinyaiya akizungumza katika semina hiyo kulia ni Babu Tale na kushoto ni Said Bonge.Millad Ayo akizungumza Anold Kayanda akitoa mawazo yake.Ibrahim Masoud,snura na washiriki wengine wakiwa katika semina hiyoDj fetty Afande sele akiwa na wenzio
Khamis Mandi B12 akichangia Mada Gerlad Hando Shafii Dauda na Diva wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo
 
picha na the choice

0 comments:

Post a Comment