Main Menu

Friday, March 15, 2013

DROO YA ROBO FAINALI KLABUBINGWA ULAYA YACHEZESHWA, DROGBA USO KWA USO TENA NA RONALDO

Shirikisho la soka barani ulaya UEFA leo limechezesha droo ya robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani humo.
Katika droo hiyo ambayo imetawaliwa na timu za uhispania ambapo timu tatu za nchi hiyo zimeingia hatua hiyo, timu hizo nimalaga , real madrid, na barcelona.
Hii ndio ratiba kamili ya robo fainali;

Malaga vs Borrusia Dortmund

Real Madrid vs Galatasaray

PSG vs Barcelona

Bayern Munich vs Juventus

0 comments:

Post a Comment