Blogs hii inawatakia sikukuu ya mwisho wa mwaka pamoja na mwaka mpya wa 2013 ikiwa ni pamoja na kuwataka kuwa makini tunaposherehekea.
Ushauri wa bure ni kwamba pindi unapowaruhusu watoto wako kwenda sehemu mbalimbali kutembea hakikisha yupo mtu wakuwaongoza na kuwalinda na pia unapotoka nyumbani hakikisha unamuacha mtu wa kuilinda nyumba kwani kumbukumbu zangu zinaonesha kuwa msimu wa sikukuu ualifu uongezeka.
Imetolewa na mmiliki wa blog hii,
Yahaya Mohamedy Mkazuzu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment