Main Menu

Friday, August 7, 2015

16 BORA SPORTS XTRA NDONDO CUP KUANZA AUGUST 10

Hatua ya mtoano ya 16 bora ya michuano ya sports xtra ndondo cup inatarajiwa kuanza august 10, ambapo kila siku utakua unachezwa mchezo mmoja.

Viwanja vitakavyo tumika katika hatua hii ni Bandari Tandika, Mwalimu Nyerere Magomeni na kwa mara ya kwanza uwanja wa Karume utatumika katika mashindano hayo.



Mashindano hayo yanadhaminiwa tabibu bingwa wa matatizo ya afya uzazi kwa wanawake na wanaume Dr Mwaka kutoka kituo cha Foreplan Clinic kilichopo Ilala Bungoni Dar  es salaaam pamoja na Bakharesa Food Product kupitia bidhaa zake mbalimbali.
 


HATUA YA 16 BORA YA NDONDO CUP 2015.

Tarehe                                            Timu                                      Uwanja



10/08/2015     ABAJALO FC vs WAUZA MATAIRI FC…….Mwl Nyerere

11/08/2015      STAKISHARI FC vs FARU JEURI……………………Bandari

12/08/2015      KEKO FERNITURE vs BUGURUNI UNITED…….Bandari

13/08/2015      MAKUMBA FC vs TEMEKE MARKET…………...Bandari

14/08/2015      FRIENDS RANGER vs GOMS UNITED…………..Karume

15/08/2015      BOOM FC vs NDANDA REPUBLIC……………….Karume

17/08/2015      BLACK SIX vs BURUDAN FC……….………………Bandari

18/08/2015      FC KAUZU vs  SIFA UNITED…………………........Bandari

0 comments:

Post a Comment