Winga teleza wa timu ya taifa ya Uholanzi memphis depay amekamilisha rasmi mchongo wa kuichezea timu ya Manchester United ya england kwa uhamisho wa pound milion 31.
Depay mwenye umri wa miaka 21 msimu uliopita alikua anakipiga na timu ya PSV Eindhoven.
Mapema mwezi uliopita mchezaji huyo alikubaliana na Man u maslahi yake binafsi na kilichokua kinasubiriwa ni kumwaga wino.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment