
Mchezaji huyo raia wa Hungary atasaini rasmi kuichezea
klabu ya Liverpool tarehe moja mwezi wa saba mwaka huu.
Ujio wa Bogdan umelenga kuleta changamoto kwa kipa wa
sasa wa Liverpool Simon Mignolet baada ya klabu hiyo kumuondoa kipa wake namba
mbili Brad Jones.
0 comments:
Post a Comment