LIVERPOOL YAITOLEA NJE OFA YA MAN CITY KWA RAHEEM STERLING
klabu ya liverpool imekataa dau la kiasi cha euro milioni
25 ambalo limetolewa na klabu ya Manchester City kwa ajili ya winga wake Raheem
Sterling.
Liverpool wameweka wazi kuwa ada ya uhamisho wa Sterling
ni kiasi cha euro milioni 50.
0 comments:
Post a Comment