Main Menu
Home
advertising
advertising
Friday, June 12, 2015
MAURIZIO SARRI ACHUKUA NAFASI YA BENITEZ NAPOLI
Klabu ya Napoli imempa mkataba wa miaka mitatu kocha Maurizio Sarri kuchukua nafasi ya kocha Rafael Benitez ambaye amejiunga na klabu ya Real Madrid.
Maurizio Sarri alikuwa kocha wa klabu ya Empoli kabla ya kujiunga na klabu ya Napoli.
0 comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
CALENDAR
International Calendar
ZILIZOSOMWA SANA
PAPA FRANSIS AKIRI KUSHINDWA KUDHIBITI VITENDO VYA USHOGA NA UFISADI KATIKA KANISA KATOLIKI
Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani amekiri kushindwa kupambana na vitendo vya ufisadi na lobi ya watu wanaopenda kufanya n...
ZAIDI YA WANAFUNZI 5,000 WASHINDWA KUINGIA VYUO VIKUU
Siku chache baada ya kufungwa kwa pazia la udahili kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioomba kujiunga na vyuo vikuu nchini, imebainik...
TENGA ANG'AKA ASEMA HAKUNA HILA KWENYE MAREKEBISHI YA KATIBA YA TFF, KIINGILIO STARS, UGANDA 5,000/=
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amesema hakuna hila yoyote katika marekebisho ya Katiba kwa vile y...
MKUTANO WA KILELE WA G8 WAMALIZIKA IRELAND YA KASKAZINI
Viongozi katika mkutano wa kilele wa mataifa nane yaliyoendelea kiviwanda uliyofanyika Ireland ya Kaskazini, wamekubaliana juu ya hatua ...
KOCHA WA BAYERN PEP GUARDIOLA AWABURUZA MAKOCHA BARANI ULAYA KWA KULIPWA PESA MINGI
Akiwa mshindi wa mataji mawili ya Ligi ya Mabingwa, matatu ya La Liga, mawili ya Copa del Rey piaa ana ajira mpya kwa mabingwa wa mataji...
KOCHA RHINO APIGWA FAINI, AFUNGIWA MECHI SITA
KAMATI ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imempiga faini ya sh. 400,000 na kumfungia mechi sita Kocha wa Rhino Ra...
KILI MUSIC TOUR 2013 KUANZA KUKINUKISHA DODOMA JUMAMOSI JUNI 22
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) chini ya Bia yake ya Kilimanjaro, inataraji kuanza rasmi tamasha kubwa la muziki lijulikanalo kam...
UPUUZI WA FACEBOOK LEO JUMATANO TAR 23
WAZIRI WA UCHUKUZI AZINDUA MPANGO WA UFATILIAJI UFANISI WA UCHUKUZI KATIKA UKANDA WA KATI NA NCHI JIRANI ZA RWANDA, BURUNDI, UGANDA, TANZANIA NA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe akihutubia katika uzinduzi wa mpango wa ufatiliaji ufanisi wa uchukuzi kanda ya ka...
CHELSEA MBIONI KUKAMILISHA USAJILI WA CHARLES ARANGUIZ
Taarifa za ndani toka klabu ya Chelsea zinasema kuwa klabu hiyo ipo mbioni kukamulisha usajili wa mchezaji Charles Aranguiz toka klabu ...
Search Box
MITANDAO WASHIRIKI
MZEE WA MATUKIO
MICHUZI
MATERUNI
WATEMBELEAJI
0 comments:
Post a Comment