Main Menu

Thursday, June 18, 2015

MCHEZAJI MPYA WA MANCHESTER UNITED ATAFUTA BEEF NA CHRISS BROWN BAADA YA KUTOKA NA DEMU WAKE

Manchester United winger Memphis Depay (right) poses for an Instagram photo with Karrueche TranMchezaji mpya wa timu ya Manchester United Memphis Depay akiwa amepozi na mpenzi wake ambaye ni x girlfreind wa mwanamuziki wa pop Chriss Brown Karrueche Tran.

Depay mwenye umri wa miaka 21 raia wa Uholanzi alitupia picha hizo kwenye ukurasa wake wa instragram akiwa jiji Miami.

Hili inaweza kuwa beef kati ya mchezaji huyo anayekipiga pia na timu ya taifa ya Uholanzi na mwanamuziki huyo mwenye skendo nyingi Chrss Brown.








Tran also posted a picture to her own Instagram hours previously, claiming she was 'hungover and hungry'27-year-old model Karrueche Tran headed to Miami Beach on Monday to enjoy the sun with some friends

0 comments:

Post a Comment