Main Menu

Thursday, June 18, 2015

KUTANA NA PICHA 5 ZA AZAM FC WAKIWA MAZOEZINI HII LEO

Mazoezi ya viungo yanaendelea
Baada ya mazoezi ya viungo, kiungo mao anapokelewa na msemaji wa timu hiyo Jaffar Idd Maganga.
 Wataalam wa viungo kutoka Romania waliokuja kuongeza nguvu benchi la ufundi linaloongozwa na muingereza Stewart Hall
 Baada ya mazoezi wachezaji wakaenda swiming kumalizia zoezi la mwisho

0 comments:

Post a Comment