SUNDERLAND YAIGEUZA ARSENAL DARAJA LA KUBAKI LIGI KUU
Klabu ya Sunderland usiku wa kuamkia leo umeigeuza Arsenal daraja la kubaki ligi kuu ya england baada ya kulazimisha sare ya bila kufungana.
Hata hivyo matokeo hayo pia yanaipa Arsenal uhakika wa kushika nafasi ya tatu baada ya kufikisha alama 72 ambazo zinaweza kufikiwa na manchester united lakini arsenal ina uwiano mzuri wa magoli.
Matokeo ya jana yameifanya Sunderland kufikisha alama 38 ambazo haziwezi kufikiwa na timu inayoshika nafasi ya tatu kutoka mwisho.
kwa sasa Hull city na Newcastler United wanapambana kukwepa kushuka daraja, Newcastler wana alama 36 wakati Hull city wana alama 34.
0 comments:
Post a Comment