
Mabao ya beki kisiki Giorgio Chiellini na Matri yalitosha kuipa ubingwa Juve kwa mabao mawili kwa moja.
Sasa Juve inasubiri fainal ya ligi ya mabingwa june 6 nchini Ujerumani kuona kama inaweza kutwaa makombe matatu kwa msimu jambo ambalo haijawahi kufanya tofauti ya wana fainal wenzano timu ya Barcelona ambao tayari wameshawahi kutwaa makombe matatu.

0 comments:
Post a Comment