Main Menu

Thursday, May 21, 2015

KAMATI YA UTENDAJI YA TFF KUKUTANA MEI 24, KUIJADILI TAIFA STARS

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF inatarajiwa kukutana jumapili tarehe 24, Mei mwaka huu ikiwa ni kikao cha kawaida cha kamati hiyo.

Moja ya ajenda katika kikao hicho itakua ni kupokea na kujadili mienendo, maandalizi na maendeleo ya timu za Taifa za mpira wa miguu nchini.

Pamoja na kuwa kikao hicho ni chakawaida lakini kitakua kimesukumwa zaidi  na mwenendo usiopendeza wa timu ya taifa katika mashindano ya COSAFA yanayoendelea nchini Afrika ya kusini.

0 comments:

Post a Comment