Main Menu

Thursday, August 28, 2014

RONALDO ATWAA TENA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA ULAYA

Busu kwenye tuzo: Nyota wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo akibusu tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Ulaya baada ya kukabidhiwa mjini Monaco, Ufaransa
Cristiano Ronaldo akifurahia tuzo yake
Ronaldo (katikati) akifurahia baada ya kushinda. kushoto ni wachezaji wa Bayern Munich, kipa Mjerumani Manuel Neuer na winga Mholanzi Arjen Robben.

0 comments:

Post a Comment