Main Menu

Thursday, August 28, 2014

MAKUNDI YA UEFA HAYA HAPA, MAN CITY, BAYERN USO KWA USO TENA

Droo ya makundi ya ligi ya mabingwa barani ulaya imepangwa ambapo mabingwa wa England, Manchester City wamepangwa tena kundi moja na mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich pamoja na CSKA Moscow na Roma, wakati Liverpool wao wamepangwa na mabingwa watetezi, Real Madrid.
Mabingwa mara tano Ulaya, Liverpool mbali na kupangwa na mabingwa mara 10 wa taji hilo, Real pia wapo na Basle na Ludogorets.
Arsenal, imepangwa na Borussia Dortmund pamoja na Galatasaray na Anderlecht katika Kundi D, wakati Chelsea imepangwa na  wakali wengine wa Ujerumani, Schalke, Sporting Lisbon na Maribor.
Makundi kamili ni kama yanavyoonekana.....

KUNDI A 

Atletico Madrid 
Juventus 
Olympiakos 
Malmo 

KUNDI B 

Real Madrid 
Basle 
LIVERPOOL
Ludogorets 

KUNDI C 

Benfica 
Zenit St Petersburg 
Bayer Leverkusen 
Monaco 

KUNDI D 

ARSENAL
Borussia Dortmund 
Galatasaray 
Anderlecht 

KUNDI E 

Bayern Munich
MANCHESTER CITY
CSKA Moscow 
Roma 

KUNDI F 

Barcelona 
Paris St-Germain 
Ajax 
Apoel Nicosia 

KUNDI G 

CHELSEA
Schalke 
Sporting Lisbon 
Maribor 

KUNDI H 

Porto 
Shakhtar Donetsk 
Athletic Bilbao 
Bate Borisov

0 comments:

Post a Comment