Main Menu

Wednesday, August 13, 2014

HUYU NDIYE NAHODHA MPYA WA MANCHESTER UNITED

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa England, Wayne Rooney ametuliwa kuwa Nahodha wa kikosi cha Manchester United na kocha Louis van Gaal.
 
Mholanzi huyo amevutiwa  na huduma za mkali huyo wa England tangu aanze kazi Old Trafford na anaamini atakuwa chaguo sahihi kuwa kiongozi wa wachezaji wenzake katika timu.
Mteule: Wayne Rooney sasa ndiye Nahodha mpya wa Manchester United

0 comments:

Post a Comment