Main Menu

Thursday, January 9, 2014

IGP MANGU AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KWA MARA YA KWANZA LEO


 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu  na Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi  (DIGP) Abdulrahman Kaniki (kulia)  akizungumza  na waandishi wa habari  Makao Makuu ya Jeshi la Polisi . 


IGP Mangu amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi ili kuweza kukabiliana na uhalifu na wahalifu. 

 Picha na Hassani Mndeme -Jeshi la Polisi


0 comments:

Post a Comment