Main Menu

Thursday, December 12, 2013

RAIS KIKWETE AUNGANA NA VIONGOZI WENGINE ZAIDI YA 10 KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA KENYA LEO


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete(kulia) wakihudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Kenya zilizofanyika katika uwanja wa Michezo wa Kasarani mjini Nairobi leo.Kushoto ni Mwenyeji Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta.Watatu kushoto ni Naibu Rais Wa Kenya William Ruto,Watano Kushoto ni Waziri Mkuu wa Ethiopia Haile Mariam Desalegn, na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi na mkewe.



0 comments:

Post a Comment