Main Menu

Sunday, December 15, 2013

HIVI NDIVYO SAFARI YA MWISHO YA TATA MADIBA ILIVYOKUA KIJIJINI KWAKE QUNU



hapa ni  Ndani ya Hema maalumu ambamo shughuli ya mazishi ya marehemu Nelson Mandela imefanyika katika kijijini Qunu.
Rais Jakaya Kikwete akitoa historia fupi ya Marehemu Mzee Nelson Mandela kuhusiana na mahusiano aliyokuwa nayo na Tanzania.

Watu wengi maarufu Duniani walikuwepo eneo hilo kuhudhuria mazishi ya Mzee Nelson Mandela  katika kijiji cha Qunu,baadhi yao ni Oprah Wilfrey na mumewe, Forest Whithaker, Richard Branson,Idris Elba na wengine wengi.
Mwili wa Mzee Mandela ukiwasili ukumbini.
Rais wa Zamani wa Zambia,Mzee Keneth Kaunda pia alikwepo.

 makamanda wa jeshi wakiiondoa bendera ya afrika kusini juu ya jeneza lenye mwili wa tata madiba

 Sala ya mwisho kabla ya mwili wa madiba haujashushwa kaburini tukio lililofanywa siri, pembeni kusho ni wananfamilia wa madiba na viongozi wa juu wa nchi hiyo pekee watu wengine hawakuruhusiwa kuingia eneo la maziko.
 Ndege za kijeshi zikizunguka juu la anga la kijiji cha qunu kabla ya mwili wa tata Madiba haujazikwa.

0 comments:

Post a Comment