Main Menu

Friday, August 30, 2013

NCHIMBI AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA JESHI LA POLISI MAKAO MAKUU PAMOJA NA KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAMr es Saalam


 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu pamoja na Kanda Maalumu ya Dar es Saalam ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Kamishna wa Utawala, Rasilimali na Fedha wa Jeshi la Polisi, Clodwing Mtweve. 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu pamoja na Kanda Maalumu ya Dar es Saalam ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Wa pili kutoka kushoto ni Kamishna wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam (CP) Suleiman Kova..


0 comments:

Post a Comment