Main Menu

Friday, August 30, 2013

BAADA YA KUSTAAFU MUZIKI BILA KUMILIKI GARI, DIAMOND AMPA MUHIDIN MAALIM NGURUMO ZAWADI YA GARI


Msanii mkongwe wa muziki wa dansi, Muhidin Gurumo akijaribu gari dogo alilokabidhiwa na mwanamuziki wa bongo fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond ‘ kutokana na kutambua mchango wake baada ya kustaafu kazi ya muziki.
Muhidin Gurumo akipokea funguo ya gari kutoka kwa Diamond
Gari alilozawadiwa mzee Gurumo.


0 comments:

Post a Comment