Main Menu

Monday, December 1, 2014

ABAJALO MABINGWA DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUO 2014....

Timu ya Abajalo toka maeneo ya Sinza mkoani Dar Es Salaam imefanikiwa kuwa timu ya kwanza kutwaa kombe la DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP 2014 baada ya kuifunga Tabata FC kwa mikwaju ya penati.

Mchezo huo ulimalizika dakika 90 timu hizo zikiwa zimefungana bao 1-1 huku tabata ikiwa ya kwanza kufunga bao kupitia kwa mshambuliaji wa Yanga Jerry Tegete kwa mkwaju wa penati baada ya yeye mwenyewe kufanyiwa madhambi kwenye eneo la penati.

Abajalo ilisawazisha kupitia mshambuliaji Rashid Ismail kwa kichwa,kwenye matuta Abajalo ilipata mikwaju 7 dhidi ya 6 ya Tabata FC.
9
Nahodha wa Abajalo Bambino akiwa amelinyanyua kombe ya ubingwa
8
Ibrahim Masoud Maestro akiwa amebeba ndoo…….
5
kikosi cha TABATA FC kikipata mawaidha toka kwa kocha wao wakati wa mapumziko……
6
Mshambuliaji wa Tabata FC Jerry Tegete…………………………..
21
Kikosi cha Abajalo kabla ya mchezo….
22
Ramadhani Kipalamoto wa Abajalo jezi namba 10 akijiandaa kuanza mpira…
25
26
Jerry Tegete akiruka juu kupiga mpira kichwa……
27
30
AAAAAAAAAA
29
AAAAAAAAAA
31

0 comments:

Post a Comment