Main Menu

Wednesday, July 17, 2013

IGP MWEMA AKUTANA NA NAIBU KAMISHINA WA KIKOSI CHA ULINZI WA AMANI KATIKA JIMBO LA DARFUR .


     Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Said Mwema, akimkabidhi zawadi yenye nembo ya Jeshi Polisi Tanzania, Naibu Kamishina wa UNAMID Dkt. Syed Kaleem Imam, kutoka nchini Sudan, jimbo la Darfur, alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam, akiwa katika ziara yake ya kikazi ya siku sita hapa nchini.

 Picha na Demetrius Njimbwi, Jeshi la Polisi Dar es salaam.

0 comments:

Post a Comment